Loading... Loading... EMIS NO: Loading...
Parent Portal Staff Portal

Kulea Maadili na Weledi, Kujenga Kesho Yenye Kung'aa

Mbeya, Uyole - Tanzania

Jiunge Sasa kwa WhatsApp

100%

Ufaulu Mitihani ya Kitaifa

1:15

Wanafunzi kwa Mwalimu

25+

Walimu Waliofuzu Kamili

500+

Wahitimu Waliofanikiwa

Karibu kwenye Portal Rasmi ya Shule - Kuhusu Sisi

Shule ya Maandalizi na Msingi ya Julius iliyopo katika mazingira tulivu na salama mkoani Mbeya eneo la Uyole iliasisiwa rasmi ikiwa na maono thabiti ya kuziba pengo kubwa la elimu bora ya lugha ya Kiingereza hapa nchini kwetu. Sisi tunasimamia malezi jumuishi yanayomjenga mtoto kiakili, kimwili, na kimaadili ili kumwandaa kuwa kiongozi bora na mwenye weledi. Tunajivunia mazingira salama, walimu waliofunzwa, na programu zinazochochea ubunifu na nidhamu.

Dira na Dhana Yetu

MAONO YETU

Kuweka msingi madhubuti wa elimu bora na malezi yenye tija kwa kila mwanafunzi nchini Tanzania.

MAJUKUMU YETU

Kutoa elimu inayochochea ubunifu, nidhamu ya hali ya juu, na uongozi bora kwa kizazi kijacho.

Sifa Zetu & Tuzo Maalum

Ada & Usafiri wa Mabasi

Mfumo wa Ada Shuleni

  • Nursery / Awali: Lipa kwa Awamu 4
  • Primary / Msingi: Lipa kwa Awamu 4
  • Benki: NMB / CRDB Bank
  • Lipa Namba: 557475 (Julius)

Ruti za Usafiri na Mabasi

  • Ruti A: Uyole & Igawilo
  • Ruti B: Mwanjelwa & Jacaranda
  • Ruti C: Kabwe & Njiapanda
  • Usalama: Walezi kwenye Mabasi

Kalenda & Matukio Yajayo (2026)

28
MAR
Siku ya Wazazi & Maonyesho ya Taaluma

Kutana na walimu na kutazama maendeleo ya taaluma ya mwanafunzi.

Video za Shule (YouTube)

Walimu & Taaluma Zao

Uongozi Wa Shule

Shuhuda za Wazazi

Taaluma na Programu

Kituo cha Nyaraka & Ratiba (Downloads)

Joining Instructions 2026

Fomu ya Mahitaji & Sheria

Pakua

Maswali Yanayoulizwa Sana

Matokeo & Mitihani

Angalia Matokeo ya Mwanafunzi:

Ingiza Namba ya Usajili ya Mtoto (Mfano: JUL-2026-001):

MID-TERM
Wastani wa Shule Kwenye Mitihani ya Mid-Term
DarasaWatahiniwaWastaniDaraja

Tuma Ujumbe & Mahali Tulipo

Uliza Swali au Tuma Ujumbe kwetu: